FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mwishoni Real kashinda 4 - 1

Crynaldo katupia 3, alikuwa anacheza kwa misifa balaah!!

Wacha wafarijike na wao kwa Ronaldo kuchukua kiatu.......sasa hapa kaka Messi ajitahidi kukazana akibebe cha UEFA
 
Kwisha habari yao na hii ndio barca iliyopitwaga had point 7
 
La Liga is Barca's! Two more finals to go! On to Barcelona and then to Berlin, lads! Visca el Barça!

 
Neymar has won the first league title of his career. He never won the Brasileirão, but now wins La Liga in his 2nd season in Europe.
 
Luis Suarez has won the La Liga with Barcelona in his first season. Congratulations Luisito!
 
In 6 seasons with Real Madrid Ronaldo won only one la liga.
Only one season on La Liga Vermalean has one liga tittle, without playing a single match to date.
 
Dada everlenk, mkuu chebi, jembe Aleyn, mheshimiwa gutierez na Barcelona fans wooootee, niwapongeze kwa kuchukua ubingwa wa la liga kwa mwaka 2014-2015. Kwa kweli mlistahili. Namwomba mkuu BAK amwage mapicha hapa ya watu na wachezaji wakishangilia ubingwa. Hongereni sana.

...pole kwa wale wa upande wa pili walikuwa wakifukuza upepo. Pole kwa mwenezi wa Madrid hapa jf bwana Salamander & co.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…