Babchabi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 1,745
- 777
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani wee acha tuu inasikitisha sana pale anatoka dakika ya 85 kajikaza wee ila daah machozi yamemtokaXavi amelia mpaka na mimi machozi yamenilenga,we will miss you Xavi........
Jersey safi sana hii, nimeipenda mnooo. Hongera zetu.
mhh hzi cjavutiwa nazo mimi bongo ni MNYAMA nina aleji na nguo za njano ila kwa kuwa ni BARCA sina jinsiJersey za Ugenini msimu ujao, kwa upande wangu sijazipenda kiviiiiiiiile. Nilitegemea watatuletea pink au hata Black.
tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo ila mwaka tofauti Chelsea alikula 5 kwa bila dhid ya BARCELONA na kipigo cha 5 tushampiga mara 2 sema hyo mara ya pili tulimpiga 5 kwa 1[/QUOTE
Wadau wote wanaufahamu MARA ya mwisho chelsea ilimliza barca nyumbani kwao nusu fainali ya UEFA na kuna goli la Torres lenye thamani ya millioni 50! Chelsea ndio wababe pekee ambao messi hajawahi kuziona nyavu zake! Pia enzi za Ronadinho barca alicheza kigezo kichapo cha 4-2 darajani kwenye uefa ngazi ya makundi, mpaka Ronadinho akaamua kukata viuno uwanjani!

mkuu ile ilikuwa droo au wewe umesahau goli la iniesta mwaka 2009 nusu fainal pale darajani ingawaje nayo ilikuwa droo ila 5 utalipa lini mkuu?
ilikuwa chini ya kocha Luis Van Gaal Barca,wakati huo kuna kina Guardiola,Enrique,Figo,Dani Garcia Lara,Rivaldo,Frank na Ronard de Boer mapacha hao,Reiziger,Bogarde,Zenden,dah lakin i Van Gaal kwa waholanzi na kila anapoenda alikuwa anampa mholanzi ukepteni,hadi kina kluivert walipita wakati wake pale nou camp,hiyo mechi nakumbuka babayaro alikula red card kwa faulo nadhani vs Figo,huku Rivaldo akiapa anastaafu mpira ikiwa Chelsea itawatoa licha ya kutangulia kuongoza kwa tore andre flo na kushinda 3-1 kule darajani.tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo ila mwaka tofauti Chelsea alikula 5 kwa bila dhid ya BARCELONA na kipigo cha 5 tushampiga mara 2 sema hyo mara ya pili tulimpiga 5 kwa 1
uefa champions league most successful club real madrid from spain
cup winners cup most successful club fc barcelona from spain(is done halipo tena kwahiyo barca rekodi yake imekamilika haitafikiwa)
uefa cup or europa league most successful club fc sevilla from spain
gang chomba upo na ac milan wafuata upepo wao kila kitu wanashika nafasi ya pili kimafanikio kuanzia internationals continent cup, uefa champs ligi hadi serie a hamna hata 1 mnalojivunia most successful,hii ndio spain imedhihirisha ubora wake makombe yote matatu sasa yamebaki mawili klabu zake ndizo zenye mafanikio ya kuongoza kubeba mara nyingi.