FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

wanamchezea vibaya suarez hapa inakua free kick kuelekea athletico bilbao
 
messi ni mchawi bila ubishi. aliona hawa mbona tunawachelewesha, wasije kutupeleka penati. akapiga adacadabra mara alkazuum!!.
 
hapa ndipo ninapo ipenda barca hili goli la pili suarez alikua yupo position ya kufunga ila hakufanya ubaghili akampa neymar daah visca baraca
 
Back
Top Bottom