Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,380
Zidane kafanya hivyo sembuse Messi?kumbe wakati mwingine na messi naye anaomba faul
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zidane kafanya hivyo sembuse Messi?kumbe wakati mwingine na messi naye anaomba faul
Jamaa kanichekesha, eti wanasaidiwa na upepo? LoL
Bado Man U wameelemewa hata kipindi hiki cha pili... Nani atoke sasa ili aingie Barbetov?
Iniesta is from which planet?
ni kweli afadha;i atoke man leo ni kama hayupo uwanjani vileRonney
Man U wameamka~
sio kuamka, wameanza mhezo wa ubabe lakini wana bahati refa wa leo anaonekana ni mpole sanaMan U wameamka~
Hili Ferguson ovyo kabisa list gani hii.... anashindwa na mtoto wa miaka 38, huyu mzee ni too old ku manage Manu he has to go....
Wa kutolewa si hao, utaona. Scholes ataingia labda lakini hatoki mmoja wa hao unaopendekeza!Toa Giggs na Rooney....weka Scholes na Berba
Wa kutolewa si hao, utaona. Scholes ataingia labda lakini hatoki mmoja wa hao unaopendekeza!