FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

poapoa.
 
Okey okey!! Hata aongee vipi haitoondoa uchungu wa zile bao 4 aisee, daah mie ningekuwa yeye ningejiban kwenye uzi huu nisingekanyaga tenaaaaa!!
huyo mzee wa vichapo timu yake acmilan na mara ya mwisho ilipigwa 4 kavu na BARCA
 
penda sana wewe mama barcelona kwa story zako ha ha ha ha ha
 
buuuuuuu Gang Chomba et umenuna mwanaume hanuni unaacha kuwanunia milan.wanaokuangusha unainunia barca ha ha ha ha ha pole mwaya toto zee ndio uhame huko milan kwa wazee
 
Last edited by a moderator:

Gang Chomba anajuta kuwa milan sababu tz yuko peke yake wenzake wote wamekuja camp nou ila sasa yy anajifanya alikunywa maji ya bendera ILA.ANAPASWA IHESHIMU BARCA KAMA.MWANAUME WA ULAYA NA AMKUBALI.KING ILI AWEZE ISHIMAISHA YA.KUTOKUWA NA PRESHA
 
Last edited by a moderator:
huyo mzee wa vichapo timu yake acmilan na mara ya mwisho ilipigwa 4 kavu na BARCA

Sasa ndio stress zake anamalizia kwa mashabiki wa barca!!! Kwani mashabiki ndio waliwafunga?
 
wewe mpira umeanza kuuangalia 2006...
nenda youtube kisha andika uefa champions league final 1994 kisha ukipata majibu uje unifuate.
nawe utakuwa na hadhina yako juu Mbinguni.
 
Gang Chomba anajuta kuwa milan sababu tz yuko peke yake wenzake wote wamekuja camp nou ila sasa yy anajifanya alikunywa maji ya bendera ILA.ANAPASWA IHESHIMU BARCA KAMA.MWANAUME WA ULAYA NA AMKUBALI.KING ILI AWEZE ISHIMAISHA YA.KUTOKUWA NA PRESHA

kama unaupenda mpira basi wewe ni shabiki wa AC Milan...
 
Last edited by a moderator:
wewe mpira umeanza kuuangalia 2006...
nenda youtube kisha andika uefa champions league final 1994 kisha ukipata majibu uje unifuate.
nawe utakuwa na hadhina yako juu Mbinguni.

Hahahaaaaa!!! Karibu chama kubwa, huku no stess men!! Usitafute visingizio tumewagaragaza tu hilo ndilo linajulikana, hayo ya enzi za mwl mie hayanihusu utamalizana na wenzio huko.
 
Sasa ndio stress zake anamalizia kwa mashabiki wa barca!!! Kwani mashabiki ndio waliwafunga?

atoto huyo mzoee uzee wake unampeleka pabaya
 
Last edited by a moderator:
wewe mpira umeanza kuuangalia 2006...
nenda youtube kisha andika uefa champions league final 1994 kisha ukipata majibu uje unifuate.
nawe utakuwa na hadhina yako juu Mbinguni.
mbona huelewek mzee wa sosuolo uliyepigwa 4 bila na bernad vp kuhusu hilo unalijua
 
kama unaupenda mpira basi wewe ni shabiki wa AC Milan...

sasa wewe Gang Chomba mara hii unaanza kulazmisha watu kuwa ni ac milan ha ha ha ha ha ha ha ha SASA NIMEAMIN UGONJWA UNAOKUSUMBUA UNAITWA MESSI MAGICIAN
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa!!! Karibu chama kubwa, huku no stess men!! Usitafute visingizio tumewagaragaza tu hilo ndilo linajulikana, hayo ya enzi za mwl mie hayanihusu utamalizana na wenzio huko.
ha ha ha ha ha ha ha ha ha wewe Gang Chomba kama hujui atoto ndiye MAMAA BARCELONA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…