FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Leo ni BARCELONA VS MANCHESTER UNITED na tutawafunga zaid ya bao 2 hlo halipingiki huku mastaa kibao upande wa barca wakikosekana kama DAN ALVES BRAVO MASCHERANO NA KINGGG MESSSSSI

samahn mkuu naomba matokeo.
 
sisi barcelona sio wapenz wa mabonanza tuwekee uefa alaf tuitie timu za epl uone moto
 
sisi barcelona sio wapenz wa mabonanza tuwekee uefa alaf tuitie timu za epl uone moto

Tunasambaratisha huku tunakuangalia usoni, hizo bonanza tunawaachia wenye stress wajifariji nazo kidogo.
 
daaah everlink mbona sikuelewi sister leo huku kesho kule hebu tupe msimamo wako pnc na broo aleyn hebu nisaidieni kuhusu dada eva
 
daaah everlink mbona sikuelewi sister leo huku kesho kule hebu tupe msimamo wako pnc na broo aleyn hebu nisaidieni kuhusu dada eva

Kaka yangu usiwasikilize hawa mimi kiukweli nikiwa Hispania timu yangu ni Barca ila nikiwa England utanikuta Man U......sasa hawa kina PNC 1 ndo hawanielewi ila my dady Aleyn ananielewa sana......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…