FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Last edited by a moderator:
Nilikuwa najua sana, ila Manga ML sio mtu mzuri, muda wa kuangalia mechi yeye ndio anataka morning glory, mwenzenu ndio naamka.



Acha majungu dogo, tulikuwa tunajua ila sasa ratiba zikaingiliana

Mhhhhjh!!!!! Ngoja nikae kimya tu.....mzima lkn?
 
Last edited by a moderator:
everlink hongera sana kwa kuliongoza jukwaa sisi wengine mda huo kwetu ni usiku mkubwa
 
Messi ni mwanangu sana na ninamkubali vilivyo ila katika hili simuungi mkono alichemsha sana tukio muhimu kama hilo kutokea vile haikuwa poa kabisa,tena kaalikwa na presidaa....mbona matukio ya huko majuu hata kama ni ya kawaida huwa anatoka fresh tu!!!....anyway ni mtazamo tu....
Haya mambo angefanya yule mpaka poda C ronaldo ningeelewa lakini Messi of all people ni ngumu kumeza aiseee
 
Back
Top Bottom