FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sasa mie ndio mpuliza matarumbeta mwenyewe sijui wakati unanisuta utasikia kweli maana nitalipuliza hatari, alafu uache majungu hayo maswali nilikuwa nayauliza enzi hizooooo now nimewiva hatari, usinchukulie poa, vipi maumivu yameisha? Naona umerudi kwa mbwembwe hatari!!
hayawez muisha maumivu huyo
 
Barcelona uchaguz umefanyika vizur namshindi ni Bartolemeu
 
Ronaldhinho on Messi Breaking Pele's record

Reporter : Messi breaks Peles record is he better than Pele?

Ronaldinho : To be better than pele you have to win 3 world cups. Not to score against Zaragoza ; Getafe and Mallorca #Dinho
 
Ronaldhinho on Messi Breaking Pele's record

Reporter : Messi breaks Peles record is he better than Pele?

Ronaldinho : To be buetter than pele you have to win 3 world cups. Not to score against Zaragoza ; Getafe and Mallorca #Dinho

ili uwe bora zaid ya pelle lazma uhesabu had magoli ya mazoezini na ofside
 
Messi azindua uwanja wa kombe la mataifa ya
Afrika 2017 Gabon
Mshindi wa tuzo la mchezaji bora duniani mara
nne ,Lionel Messi, amekutana na rais wa Gabon Ali
Bongo Ondimba.
Mchezaji wa Argentina na mabingwa wa ligi kuu ya
Ulaya Barcelona aliweka jiwe la msingi la uwanja
utakaotumika kuandaa mechi za fainali za kombe
la Mataifa ya Afrika mwaka wa 2017.
Mchezaji huyo maarufu wa kilabu cha Barcelona
,mshindi wa tuzo la Mfalme wa Uhispania Copa del
Rey na ligi ya Ulaya msimu uliopita,alizindua rasmi
mchakato wa ujenzi katika uwanja wa soka wa
Port-Gentil.
Sherehe za uzinduzi huo zilifanyika kwenye eneo
kubwa la mchanga ambapo uwanja huo wa soka
utajengwa.
Ni ziara ya kwanza ya mshambuliaji huyo wa
Argentina nchini Gabon na aliweka saini yake
kwenye jezi zinazovaliwa na mashabiki wake ,
kabla ya kuweka jiwe la msingi akiambatana na
rais.
" Nilipokua Barcelona miaka michache iliyopita ,
nilikutana na Messi ambaye aliniambia kwamba
atakuja kunitembelea mjini Libreville," alisema rais
wa Gabon.
" Ni ahadi aliyonipa.''
''Ni mtu anayetimiza ahadi ."
Uwanja huo mpya utakua na uwezo wa kuwapokea
mashabiki 20,000 na unatarajiwa kuandaa mechi
kuanzia mwezi Novemba 2016 katika michezo ya
awali ya shindano hilo.
 
Leo Barca iko uwanjani kwenye mechi yake ya kwanza dhidi ya LA GALAXY ya America MECHI HIYO ITAPIGWA SAA 12 ASUBUHI HAPO KESHO atoto usikose hyo mechi japo wachezaji mahiri kutokea duniani hawatakuwepo nao ni MASCHERANO BRAVO ALVES NEYMAR NA KIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIING MESSSSI
 
Last edited by a moderator:

hahahahaaaaaa good PNC up
 
Hayo masaa ni ya Tanzania? Duuuuh!
 
Last edited by a moderator:
asante sana PNC ila nataka nipewe mda wa wiki moja nimalizie majukumu then tutasababisha pamoja

nimefrahi kufika hapa kwa heshma ya pnc . thanks alot pia nimefrah kufka ktika uwanja wa home barca boys viva BARCA &MSNA
BARCA TILL I DIE.....
 
Back
Top Bottom