FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Leo ni Fc Barcelona vs Malaga Mda saa 3:30 usiku uwanja wa Camp Nou
 
pic_2015-08-28_ENTRENO_32-Optimized.v1440760871.JPG
 
Mtani naona kwenye mchepuko unakua kwenye ubora wako ..... Ila naona mchepuko na njia kuu Yale Yale kamoja tu kwa mbinde sana

Btw hongera kwa ushindi

Mtani Wangu weweeee hii Nyumba yangu acha tu ni Wavivu mno so nawachangamsha........Mtani wale wadudu wa last week na this week ni wagumu kweli unaweza tolewa nishai hivihivi,Ila Bahati pia walikuwa nayo keeper wao kawa man of the match,......vipi mtani sasahivi amani eeeh?au twende kwa mchepuko wako ila nimechoka na Tsunami la leo sijui kama nitauangalia wote.
 
Hongera kwa kuujali mchepuko....... Leo nimejipa likizo siangalii mechi yoyote maana kila nionapo mpira naziona zile jezi zetu ngoja nishinde huku huku tu kupata update
 
Back
Top Bottom