Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 326
Hahahahahaha best nimekumiss ile mbaya acha tu,pole kwa jana eeehhh!!!!
Kila kona nakukuta tu cjui nkajifichie wapi sasa maana......ila hayo ya jana naomba nisiyaongelee maana namsubiri huyo wa jumamosi tuuuu nimbutuee everlenk
Hahahah usijali yaani nakupa Mibaraka yooooooote umchape kipigo cha mbwa mwizi.....lol
Nimekuonea huruma nisicheze kigodoro chenu ila naona umekuja kunikumbusha
Kumbe
Huko kwa Malkia ni timu moja imeshinda nayo ni Chelseaaaa cute b
Hongera mkuu wangu
Vamos Barca....
Jmoc thi utakuwa kwetu lkn? cute b
Asante sana angalau na sisi tumeshinda na kuweka klini shit
Hiyo ni lazma mkuu...
Seeh hivi kuna wakati unakuwaga jiniaz eh?
Ndio mkuu yaani mimi na gunner damu damu
Hahahaaaa nimeona wivuuu
Hahahaahahah hapanaaa we nakujua.....wewe na everlenk ni wa baba mmoja