everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Ushauri wa bure. Kama hujafunga ndoa ya kikristu na manure, achana nao. Bora uhamie kwa baca kabisa kuliko kuendelea kuumiza roho yako, kisa timu mbovu.
Huyu ni mchepuko tu na kazi yake ndo hiyo tu......Kila la heri my kaka.