FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

King Messi anaingia kubadilisha matokeo dk 60. Barcelona 1 Atletico 1
 
dah, afadhali hawa vigogo tuwabanduege mdogomdogo. ila roberto kushindwa kupiga cross inanikosesha raha.
 
Neymar mpira wa kichoyo choyo na masifa sifa anai lostisha timu
ndo maana bila Messi timu haifungi
Messi anaongoza kwa assist pia.. Neymar selfish sana
 
2015-09-12_ATLETICO-BARCELONA_31.v1442090902.JPG
 
Neymar mpira wa kichoyo choyo na masifa sifa anai lostisha timu
ndo maana bila Messi timu haifungi
Messi anaongoza kwa assist pia.. Neymar selfish sana
uko sahihi mkuu Neymar had alikuwa anaboa
 
Back
Top Bottom