FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

najua wale anti messi + anti barca kwao ni habari njema kwetu ni janga mungu atamjalia kupona haraka
 
Hapa Luis kanifurahisha sana✌✌✌✌✌
 
Attachments

  • 1443284607227.jpg
    1443284607227.jpg
    38 KB · Views: 72
Naona mmeponea chupuchupu teeehe tehhe

Miss penalty nje wiki 8 mpaka akae sawa CR7 atakua ana 20+ goals

Btw hongereni kwa ushindi
 
Kocha punguanii nionavyo Kocha Enrique type yake ni timu kama man u liver chelsea n.k ILA KWA BARCELONA TUNAMBEBESHA MZIGO AMBAO SIO SAIZ YAKE
 
Kocha punguanii nionavyo Kocha Enrique type yake ni timu kama man u liver chelsea n.k ILA KWA BARCELONA TUNAMBEBESHA MZIGO AMBAO SIO SAIZ YAKE

Uwe na adabu na maneno yako, Wacha kukurupuka banaaa kama mgombea fulani wa Urais! !!!!!
 
Back
Top Bottom