....ai we mbaya..!! ukienda upande wa pili unawaliwaza, ukirudi huku unawanyonga!!
Safiiiiiii
Suarez kapiga la 4
Ronaldo yupo jaman
WAP cute b jamaniii
Mnacheza na yanga au? Naona maluweluwe
Ila real madrid na barca huwa ni wazee wa kuoteana
Kama kawaida tupo hapa leo WAP cute b everlenk chebi A.Kunambi na wengineo woooooote Mafans wa Barca hata wale wasio wa Barcelona Mama a atoto ni FC BARCELONA miamba ya Catalonia vs Real Madrid wazee wa kupoteza muda SAA 2 :15 kwa masaa ya kibongo na ukichelewa dakika 5 unamkuta King Messi kazama Mara mbili wavuni
Barca hoyeeeeee
Poyeeeeeeeeeee hapa bado mchepuko wa pili unipe raha.....Juve yako sijui itatoka ????
Tunacheza na Taifa star aka wazee wa 7up