DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
On my view kwa sasa Neymar,Muller na Lewandoski wako kwenye level moja.Neymar amepata advantage sana baada ya Messi kuumia
sawa kabisa, ana kila sifa ya striker. kitu kingine anabidii sana na nidhamu yake imekuwa nzuri sana.
Utofauti wa Neymar kwa sasa ni kwamba ni MTU aliyepevuka kisoka
Hili nililiona tu alivyonyoa nywele zake alizozipenda
Kwanini nimesema nywele na si uchezaji wake ??
Nywele kwa Neymar kilikuwa kitu mzigo coz pengne alitumia muda mwingi saana kulinda nywele kuliko kulinda Mpira ukiwa mguuni hahahahaha its like joke but kuna message hapa
Ney wa sasa anataka kuonyeshe ulimwengu kuwa kapevuka na anauchu wa kutaka mafanikio
Ukitaka kujua ukuaji wake angalia hata ushangiliaji wake kwa sasa ni kiutu uzima
Mapito aliyopitia nadhani yamemfanya kujitambua yeye ni Nani na anatakiwa afanye nini
Mfano Red aliyoipata kwa kupigana na mchezaji wenzie wakati akiwa na taifa lake Brazil ilimpa fundisho
Comments kutoka kwa wachezaji wakongwe mfano Xavi alivichukulia uzito
Pia tulizoea Ney amejitambua zaidi kuumia kwa Messi
Anyway ni katka uchache huyo but kifupi kabarehe kisoka
Ujio wa Messi hautampoteza Ney bali atahit zaid ikumbukwe kuwa hawa watu wawili wanaelewana zaid kuliko wanavyoelewana Suarez na Neymar na ndo maana hata magoal ya msimu uliopita ya Neymar mchango mkubwa alikuwa na Messi (Assists)
Mkuu upo vzur kiuchambuz sema tatzo la wanabarca wanajaa humu had tushinde tukifungwa wengi hawaonekani
like kwako mkuu. zile nywele kama japanese cartoons zilifanya watu tusimchukulie serious. kinaonekana kitu kidogo lakini kinamadhara. naona washauri wake waliliona hilo. Neymar na Messi wanaelewana sana ila hakuna kama Neymar na Suarez wangeelewana kiasi walichoonyesha.Utofauti wa Neymar kwa sasa ni kwamba ni MTU aliyepevuka kisoka
Hili nililiona tu alivyonyoa nywele zake alizozipenda
Kwanini nimesema nywele na si uchezaji wake ??
Nywele kwa Neymar kilikuwa kitu mzigo coz pengne alitumia muda mwingi saana kulinda nywele kuliko kulinda Mpira ukiwa mguuni hahahahaha its like joke but kuna message hapa
Ney wa sasa anataka kuonyeshe ulimwengu kuwa kapevuka na anauchu wa kutaka mafanikio
Ukitaka kujua ukuaji wake angalia hata ushangiliaji wake kwa sasa ni kiutu uzima
Mapito aliyopitia nadhani yamemfanya kujitambua yeye ni Nani na anatakiwa afanye nini
Mfano Red aliyoipata kwa kupigana na mchezaji wenzie wakati akiwa na taifa lake Brazil ilimpa fundisho
Comments kutoka kwa wachezaji wakongwe mfano Xavi alivichukulia uzito
Pia tulizoea Ney amejitambua zaidi kuumia kwa Messi
Anyway ni katka uchache huyo but kifupi kabarehe kisoka
Ujio wa Messi hautampoteza Ney bali atahit zaid ikumbukwe kuwa hawa watu wawili wanaelewana zaid kuliko wanavyoelewana Suarez na Neymar na ndo maana hata magoal ya msimu uliopita ya Neymar mchango mkubwa alikuwa na Messi (Assists)
like kwako mkuu. zile nywele kama japanese cartoons zilifanya watu tusimchukulie serious. kinaonekana kitu kidogo lakini kinamadhara. naona washauri wake waliliona hilo. Neymar na Messi wanaelewana sana ila hakuna kama Neymar na Suarez wangeelewana kiasi walichoonyesha.
toka messi aumie nadhani hatujapoteza mechi. tulipoteza kwa sevilla na celta. japo ya sevilla sina uhakika kama alikuwepo. nilichommiss messi ni kule kushinda 4, 5 hadi 6 na kandanda lake.Ninachojua ni.kwamba Neymar hajaiangusha bascelkn Mess ni wa sayari nyingine
Tukifungwa tuna hasira unaweza kustukia umepigwa ban-afadhali kuachia machungu yapiteMkuu upo vzur kiuchambuz sema tatzo la wanabarca wanajaa humu had tushinde tukifungwa wengi hawaonekani
Tukifungwa tuna hasira unaweza kustukia umepigwa ban-afadhali kuachia machungu yapite
Fc Barcelona vs As Roma Leo SAA 4:45 kwa mida ya huko nchini kwenu Tanzania
Leo barca wananyoooshwa...
Chezea Roma wew
mambo cute b!Leo barca wananyoooshwa...
Chezea Roma wew
Leo barca wananyoooshwa...
Chezea Roma wew
Leo barca wananyoooshwa...
Chezea Roma wew