sawa kabisa, ana kila sifa ya striker. kitu kingine anabidii sana na nidhamu yake imekuwa nzuri sana.
Utofauti wa Neymar kwa sasa ni kwamba ni MTU aliyepevuka kisoka
Hili nililiona tu alivyonyoa nywele zake alizozipenda
Kwanini nimesema nywele na si uchezaji wake ??
Nywele kwa Neymar kilikuwa kitu mzigo coz pengne alitumia muda mwingi saana kulinda nywele kuliko kulinda Mpira ukiwa mguuni hahahahaha its like joke but kuna message hapa
Ney wa sasa anataka kuonyeshe ulimwengu kuwa kapevuka na anauchu wa kutaka mafanikio
Ukitaka kujua ukuaji wake angalia hata ushangiliaji wake kwa sasa ni kiutu uzima
Mapito aliyopitia nadhani yamemfanya kujitambua yeye ni Nani na anatakiwa afanye nini
Mfano Red aliyoipata kwa kupigana na mchezaji wenzie wakati akiwa na taifa lake Brazil ilimpa fundisho
Comments kutoka kwa wachezaji wakongwe mfano Xavi alivichukulia uzito
Pia tulizoea Ney amejitambua zaidi kuumia kwa Messi
Anyway ni katka uchache huyo but kifupi kabarehe kisoka
Ujio wa Messi hautampoteza Ney bali atahit zaid ikumbukwe kuwa hawa watu wawili wanaelewana zaid kuliko wanavyoelewana Suarez na Neymar na ndo maana hata magoal ya msimu uliopita ya Neymar mchango mkubwa alikuwa na Messi (Assists)