FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca wanaharibu soccer-wako so laid back utafikiri wako mazoezini-yaani wakipandisha gear hakuna team duniani inayoweza kwenda nao toe to toe-hizi cross ndefu madhara yake kwa opposing teams ni hatari
 
Hii ni barca ya mpito hahah ni barca ambayo haina mbadala wachezaji wake ni walewale hebu ifikirie Barca baada ya January baada ya ban kuisha itakuwaje??
 
FT 4-0. Messi akamilisha MSN dakika ya 91. everlenk ntakuwa nakuchawia nusu saa ijayo.
 
Last edited by a moderator:
hat-tip-BW.jpg

shikamoo Neymar, shikamoo sana!
 
Back
Top Bottom