FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Hahahahaa hapo mwisho kwa Wayne bridge nimecheka sana
 
Mkuu nilishamlalamikiaga huyu Invisible ila sikuona matokeo ya kubadilishwa

Mkumbushe tena mkuu kwa kumuandikia pm,otherwise atuwekee picha ya legends was barca kama hataki kuweka current squad!
 
Last edited by a moderator:
Alipewa ili kumuondolea aibu yani hyo tuzo ni kama ya waokota mipira bora wa uwanjani

Acha ushabiki mandazi iyo tuzo aliochukua ronaldo kapigwa kura na mashabiki wa la liga wote
 
Acha ushabiki mandazi iyo tuzo aliochukua ronaldo kapigwa kura na mashabiki wa la liga wote
Jinsi ronaldo anavyojua kulalamika, pata picha hata hiyo tuzo ingeenda kwa Messi. Ronaldo hakubaliki kama Messi kule La Liga, tena kwa msimu uliopita ndo kabisaaaaa, Messi alikuwe kwenye fom vibaya mno.
 
King Messi ndio habar ya dunia
 
Fc Barcelona Jana tena imemgalagaza vibaya timu ya Vilanover kwa Goli 6 kwa 1 huku Barca ikiwa imepanga kikos cha pili na ushindi huo unaifanya Barcelona kufuzu hatua ya robo fainal kombe la copa del lay a.k.a la mfalme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…