Sikufahamu kuwa hadi na ulaya nako wanauzaga mechi had leo
JANA BARCA KAUZA MECHI SIJAWAIONA MPIRA MBOVU KAMA WA JANA YANI MBOVU KULIKO YANI KUPINDUKIA HAKIKA KAMA MTU ALIKUWA ANAISKIAGA BARCA SIFA ZAKE ALAF KWA MARA YA KWANZA NDIO ANAIONA hawez ishabikia teeeeena Najua tunaratiba ngumu mbele yetu ila Jana tumeuza mechi
ila huyu luis enrique anajifanya mjanja baada ya kuona neymar majeruhi na tayari timu imeshatinga 16 katoa bunduki zote ili kujikinga na majeraha mengine mii kwa hili nampa pongezi ukizingatia tarehe 17/12/2015 tuna mechi ya club world cup visca barca
mii nilitaka man u waingie halafu tuje kukutana nao tujipigie
Hahahahah mi nilitaka Chelsea coz huwa wanajiita wao ndo wababe wa Barca