FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sikufahamu kuwa hadi na ulaya nako wanauzaga mechi had leo
JANA BARCA KAUZA MECHI SIJAWAIONA MPIRA MBOVU KAMA WA JANA YANI MBOVU KULIKO YANI KUPINDUKIA HAKIKA KAMA MTU ALIKUWA ANAISKIAGA BARCA SIFA ZAKE ALAF KWA MARA YA KWANZA NDIO ANAIONA hawez ishabikia teeeeena Najua tunaratiba ngumu mbele yetu ila Jana tumeuza mechi

Msitafute kisingizio ni sababu tu tulizidiwa kutokana na bunduki zetu hazikuwepo.......wangetufunga usinge kuja na haya maneno,kwa jana hatukuwa vizuri....
 
Msitafute kisingizio ni sababu tu tulizidiwa kutokana na bunduki zetu hazikuwepo.......wangetufunga usinge kuja na haya maneno,kwa jana hatukuwa vizuri....

Shemeji yako ENZO anakutafuta kule kwenu.....
 
Last edited by a moderator:
ila huyu luis enrique anajifanya mjanja baada ya kuona neymar majeruhi na tayari timu imeshatinga 16 katoa bunduki zote ili kujikinga na majeraha mengine mii kwa hili nampa pongezi ukizingatia tarehe 17/12/2015 tuna mechi ya club world cup visca barca
 
Hilo umeliona Mkuu safi saana

Enrique ni kocha anayeweza kutumia resource vizr na akapata mafanikio hata kama kuna uhaba wa resource zenyewe
 
draw itakua mjini nyon tarehe 14/12/2015 monday on 12:00pm kwa saa za bongo ni saa 14:00pm (saa nane mchana africa ya mashariki)
 
Neymar kaumia na inasemekana hatoenda japan kwa michuano ya FIFA CLUB WORLD CUP
 
Mbali saaaaaaaana daaaaah Messsi hatariiiii
 
Goli la Messi ni freekick linaweza kuwa goli bora la mwez katika La Liga
 
Half Time BBarcelona 1 Deportivo 0
Messi dk 38
 
Back
Top Bottom