FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu huu sasa utani. Hii nayo ni thread ya kisiasa? Si kuna jukwaa la michezo? Au sasa kuna maana gani kuwa na forums mbali mbali?

acha uzandiki ndugu;ikikuuma kamua uanike...si kulalama
 
hujui soka......na ni na ni matusi kuifananaisha arsenal na barca....
 
picha kama hizi wapiga picha wetu wanashindwa kuzi time.....picha za kwenye field wanazopiga wapiga picha wetu zinatia kinyaa......unaweza kufikiria mchezaji kiwete....

Hivi unafikiria hiyo camera iliyopiga hizo picha inapiga picha ngapi kwa sekunde? ka kamera kangu mshenzi kanapiga picha 6 kwa sekunde.

Hivi Thread ngapi zimeanzishwa leo baada ya Man u kufungwa?
 
Tutakunywa majia angalauuuu...Maana MAN U angeshinda kunawatoto wa kiswahili huju wanamdo sana...
 
picha kama hizi wapiga picha wetu wanashindwa kuzi time.....picha za kwenye field wanazopiga wapiga picha wetu zinatia kinyaa......unaweza kufikiria mchezaji kiwete....
Vifaa Duni kaka
 
HONGERA SANA KWA THE CATALANS,

Kwetu sisi wapenzi wa soka, mmetuonesha kuwa mpira wa kuzuia tu na kucheza kama rugbi haulipi. Mmedhihirisha ninyi ni mabingwa na ni timu kutoka nchi ambayo ni mabingwa wa Ulaya. Mmeonesha ninyi ni wafalme na mnaweza kuwala vyenga wapinzani wenu, kuwapiga matobo na kanzu, kuwachezesha changamsha buwege, kuwaonesha hau tu dribo and pass ze bol na bado mkawalamba mbili kavu, kama bonus.

Kwenu mashetani wekundu, pole sana kwa kipigo cha paka mwizi. Inasikitisha kuona mlivyokuwa exposed kuwa ninyi si lolote si chochote. Kama ni mama mjamzito tungesema mmekandwa maji ya moto na mtoto mmemkosa, chenga mmeliwa, soka mmefundwa na kichapo mmepewa. Mjikaze roho ktk kipindi hiki kigumu cha kujitambua na kujua kiwango chenu halisi cha mpira, kuwa ninyi si lolote si chochote mbele ya timu zenye kujua kulitandaza soka la uhakika.

Sforza Barca, you made us the football fans proud of your attractive silk football.

Disclaimer: Ni maoni tu wadau, msirushe ngumi... 😀 😀
 
Yeah, I do concur with you 100%, tufike mahali tupende soka kwanza halafu ndo upenzi wa timu uje baadae, ingekuwa ni dhuluma ya hali ya juu kama Barca wasingekuwa mabingwa. Naamini watoto (teenagers) walioona mechi ya jana ambao wana ndoto za kuja kuwa wachezaji watataka kuwa kama kina Messi na the likes of Iniesta. I always admire the so called flamboyant football (Barca's tradition). The Beauty won against the Beasts!!!!!
 
Tutakunywa majia angalauuuu...Maana MAN U angeshinda kunawatoto wa kiswahili huju wanamdo sana...

We acha tu....last year baada ya filimbi ya mwisho pale Moscow, hawa Man U fans walileta fujo sana usiku mitaani kule Dar na kutusababishia usumbufu......!

Bora this time wameshikishwa adabu........kimyaaaaaaaaa!, wamezimaa na simu huko uswazi....ahaaaah!ahahaha!
 
Hi all

ilikuwa ni dream final kwa kweli,man utd walitaka wacheze mpira kama wa barca fc,wakashikwa pabaya wanaaaaa.

cku njema.
 
Hivi jana Barca walikuwa wanacheza 33 uwanjani maana MAN walikuwa hawaonekani kabisa??
 

Yaani mkuu kama ulikuwepo. Man U wangeanza kupata wao bao kama Barca, wangerudi wote golini (0-10-1 formation) kuzuia kwa staili yao ya rugbi na fainali yote wangeitia mchanga. Tunashukuru hayo hayakutokea.
 
Hapo kwenye bold kuna ukweli 90%
 
mie man u kweli siwapendi napenda good football ambayo man u hawana......sio mshabiki wa arsenal sababu napo sitaki presha ila nawapenda kwa soka lao......

......Nuggets sasa wasiniangushe baadae
Wewe ni Arsenal damu acha kuzuga but Nugget hawatakuangusha final itakuwa Lakers VS Nuget
 
Hello all football fan
Barcelona is the best team in the world, Do you agree. ManUtd was not on the pitch.

English football failed to take part to Spanish giant. Messi,iniesta,Xavi, Eto'o are master class.

Enjoy for BARCELONA TO WIN
 
Hello all football fan
Barcelona is the best team in the world, Do you agree. ManUtd was not on the pitch.

English football failed to take part to Spanish giant. Messi,iniesta,Xavi, Eto'o are master class.

Enjoy for BARCELONA TO WIN

No doubt, the following 5 words (Magnificent, Fabulous, Marvelous, Tremendous and Wonderful) fits the Barca's display last night.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…