FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

2010-04-10_PARTIDO_09.JPG




2010-04-10_PARTIDO_16.JPG



2010-04-10_PARTIDO_17.JPG
 
Mimi kwa kweli nina ka-Mesi Fobia,yaani jinsi alivyotutenda Gunners.
Kila nikiiona picha au kulisikia jina lake hakika ka-fobia kanaongezeka!!
 
Naendelea kupekua dikshenari yangu kutafuta maana ya neno 'FUN'


hii ni baada ya kulizwa na simba lugha imekimbia kabisa sinkala yaani leo kila kona naboronga ngoja niwe mpole
hujaelewa Sinkala namaanisha nini lakini?????????????????
 
kule alipo Ronaldinho ni wapi?....mimi ni wa huko
 
Tupo wa Los Blancos a.k.a Los Merengues.....naizungumzia Real Madrid Club de Futbol....................Real Madrid
 
Back
Top Bottom