Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mimi nawashabikia Inter bana................wawachape Barca
yaani mtani wangu balantanda naona kweli kanikamia aisee... mimi liver yeye arsenal; mimi simba [ya mgosi] yeye yanga [ya obren]; mimi barca ya messi yeye madrid ya ronaldo... sawa tummmh my Kaka no comment ...
jamaa kiboko sana hawa waache tu waendeshe timu kwa mikopo si wanajua sheria ya uefa ikiwa active balaa lake.lol, hela wamemaliza kumnunua Villa..au ?
Kwenye msimu uliopita walikuwa na mzozo na Toure, kwa sababu kwamba kwenye mkataba waliandikiana kwamba akizidisha idadi fulani ya mechi Barca inabidi waongeze package,ndio maana kuna mechi nyingi Toure alikuwa hachezeshwi.
jamaa kiboko sana hawa waache tu waendeshe timu kwa mikopo si wanajua sheria ya uefa ikiwa active balaa lake.
Toure naona kaenda kulamba dume kule man city pound 220,000 kwa wiki wanamlipa, jamaa kweli wana hela ya kuchezea.

Wakope fweza wamnunue Fabregas sisi tutatafuta wachezaji wengine naona hata hiyo world cup aliyokuwa anaipigia ukelele wamemuweka bench - What a stupid boy. Aondoke tu Arsenal atakuwa nothing kama Alexander Hleb.
Fabregas atafanya makosa makubwa kama ataamua kwenda kwenye timu hiyo ambayo inaonyesha dalili za financial problems
TOURE anapata £110,000 per week after tax......
Paying 220K for a player like Yaya per week is crazy!!!