FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wakuu hii ni kwa heshima ya FL1 na wapenzi wengine wote wa Barca maana naona ile thread ipewe msisitizo na kuboreshwa na habari za Barca

HII NI DEDICATED TO BARCA NA NAOMBA MODS MUUNGANISHE ILI TUJINOME NA HABARI ZA BARCA
 
Leo mimi nawashabikia Inter bana................wawachape Barca
 
sijui nikushukuru vip De Novo you made my day ...natamani nikupe thanx a million lakini button inaruhusu kutoa moja tu..

Nilikuwa kila nikichungulia mambo ya sports nakutana na Red Devils ,Arsenal,Chelsea na zinginezo lakini Barca haionekani

Sasa moyo umetulia kabisaaaaaaaaa
 
mmmh my Kaka no comment ...
yaani mtani wangu balantanda naona kweli kanikamia aisee... mimi liver yeye arsenal; mimi simba [ya mgosi] yeye yanga [ya obren]; mimi barca ya messi yeye madrid ya ronaldo... sawa tu

FL1 Barca are out of this world kwa kila kitu, leo tutaanza na sponsorship... wakati timu nyingine zinauza viatu, mafuta, ndege na pombe kwenye jezi zao, barca wanatanga mtoto wa dunia na heshima ya wanawake kwenye jezi zao zilizo na nembo ya UNICEF... the difference is clear!!!
 
tupo wa barcelona si unajua mambo ya "kandanda safi".sema tatizo ya la liga ni hili hapa kama wenger alivyosema Wenger said: “. There are two good teams, I confess that, but number three is 27 points behind. This weekend the players go on strike because they have not been paid and the league is in complete disarray.”:

ligi yao timu mbili tu hata kuangalia inatia uvivu sana siku hizi kwahio watu wengi hawaipi kipa umbele kama uingereza.sasa timu ya tatu iko nyuma point 27 si wazimu huu?
 
Leo ilikuwa ni mambo ya conflict of interests,maana I secretly support Barcelona na Internazionale zikiwa hazichezi na Man Utd tuu...!!
 
lionel-messi.jpg

Meanwhile, Maradona dismissed suggestions he might rest Lionel Messi for Tuesday's final Group B clash against Greece, insisting it would be a "sin" to deprive the public of seeing the best player on the planet.

Prior to the start of the World Cup there had been concerns about Messi's state of health following a gruelling season with Barcelona, and the 22-year-old then played the full 90 minutes against Nigeria and South Korea.

With Argentina having won both those games to establish a three-point lead at the top of Group B heading into the final round of fixtures, it might have crossed Maradona's mind to give Messi a break for the clash with Greece.

That prospect seemed even more likely as Maradona tested a radically different team in training to the one that beat South Korea 4-1, with Messi one of those not involved, but it appears the FIFA World Player of the Year will start in Polokwane.

"Lionel Messi always wants to play and I thought I should give him a break (in training), but if you have a player as good as Leo, who is the best player in the world, I think it would be a sin not to give Messi to the people, to the team, and leave out the player who can certainly make the difference in a match," Maradona said.

"We of course wanted to give Lionel Messi a break (in training). He will play."
Maradona also played down Messi's lack of success in front of goal.

"If Messi is having a bad run then let him continue with that bad run, because I'm extremely pleased with Messi's performances," he said. "He goes out to play and help his team-mates. Leo helps define the match and creates things for the other players."

Chanzo: 2010 World Cup: Diego Maradona still fighting for fair play - ESPN Soccernet
 
Barcelona president Sandro Rosell has revealed the club is currently unable to pay the players last month's wages.

Sandro Rosell is looking to address the club's financial problems

Rosell firm on Fabregas

Rosell, who has now formally replaced Joan Laporta, has spoken of the "cashflow tensions" at the club. Defender Dmitro Chygrynskiy has been sold back to Shakhtar Donetsk for 15 million just one year after his arrival, and they are to take out a 150 million loan to ease the concerns.

"At this point, we have to take a loan to pay the wages of the players," he told Sport. "The squad were supposed to be paid at the end of last month and still haven't been.

"We'll fix a loan of 150 million. The banks know that we have a business plan that will allow them to recover the money."

He added: "The members shouldn't be afraid because it is under control. We must resolve this tension. It can be done in two ways: to have extra income, like selling Chygrynskiy, and/or taking a loan, which is what we have done.

"The previous board had already begun this process. We followed the same path - the same banks, the same target but with a different business plan.

"They (Laporta's board) also knew they needed this credit. We hope to sign it this week."
 
lol, hela wamemaliza kumnunua Villa..au ?

Kwenye msimu uliopita walikuwa na mzozo na Toure, kwa sababu kwamba kwenye mkataba waliandikiana kwamba akizidisha idadi fulani ya mechi Barca inabidi waongeze package,ndio maana kuna mechi nyingi Toure alikuwa hachezeshwi.
 
jamaa kiboko sana hawa waache tu waendeshe timu kwa mikopo si wanajua sheria ya uefa ikiwa active balaa lake.

Toure naona kaenda kulamba dume kule man city pound 220,000 kwa wiki wanamlipa, jamaa kweli wana hela ya kuchezea.
 
Naona City tamaa inazidi mipango, lakini naamini watafanya vizuri msimu ujao wakijipanga vizuri na Mancini.
 
jamaa kiboko sana hawa waache tu waendeshe timu kwa mikopo si wanajua sheria ya uefa ikiwa active balaa lake.

Toure naona kaenda kulamba dume kule man city pound 220,000 kwa wiki wanamlipa, jamaa kweli wana hela ya kuchezea.

Paying 220K for a player like Yaya per week is crazy!!!
 
Wakope fweza wamnunue Fabregas sisi tutatafuta wachezaji wengine naona hata hiyo world cup aliyokuwa anaipigia ukelele wamemuweka bench - What a stupid boy. Aondoke tu Arsenal atakuwa nothing kama Alexander Hleb.
 
Ndio matatizo ya siasa kwenye Football,naskia Laporta anagombea urais wa Catalunya
 
jamaa kiboko sana hawa waache tu waendeshe timu kwa mikopo si wanajua sheria ya uefa ikiwa active balaa lake.

Toure naona kaenda kulamba dume kule man city pound 220,000 kwa wiki wanamlipa, jamaa kweli wana hela ya kuchezea.

TOURE anapata £110,000 per week after tax......
 
Wakope fweza wamnunue Fabregas sisi tutatafuta wachezaji wengine naona hata hiyo world cup aliyokuwa anaipigia ukelele wamemuweka bench - What a stupid boy. Aondoke tu Arsenal atakuwa nothing kama Alexander Hleb.

Fabregas atafanya makosa makubwa kama ataamua kwenda kwenye timu hiyo ambayo inaonyesha dalili za financial problems
 
Back
Top Bottom