Unitanisha huku hakuna tvdk ya 24 Neyma katupia la pili. ni 2-0. ila jamaa leo wapo fresh.
HT bado 2-0. ila ikukosekana kwa Messi na Suarez imefanya tusiwe tunateleza kama kawaida yetu. na ugeni nao naona unachangia.Unitanisha huku hakuna tv
Rekebisha hiyo tarehebig up kwa mafan wote wa barca full time 1-2 hawa atletico kipindi cha pili wameharibu mpira kwa kufanya faoul nyingi muhimu tumewashinda gem ya marudiano ni 270/1/2016 ndani ya camp nou hapo ile msn itakua iko poa wataipata good kama juzi jumapili
poa ni tarehe 27/01/2016Rekebisha hiyo tarehe