FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

2016-01-21_ENTRENO_12-Optimized.v1453380112.JPG
2016-01-21_ENTRENO_51-Optimized.v1453380228.JPG
2016-01-21_ENTRENO_67-Optimized.v1453380258.JPG
 
ngoma ndiyo inaanza. neymar na pique wako suspended. jordi majeruhi , danny bench na vidal kaanza. munir katupia dk ya kwanza. barca 1 malaga 0.
 
FT 2-1. @everlink umepotolea wapi? naona upande wa pili mambo si mazuri
 
game ya leo as usual ni show time,value for money,entertainment 100% na tunaweza furahia a goals galore
 
Hili kombe ni la Barca moja kwa moja, nasema hivi sababu sijaona timu inayoweza kuleta upinzani kwa Barca badala ya Real Madrid kuondolewa. Atletico Madrid hawawezi isumbua Barca!
¨
MKUU MIMI BASI NAONA BORA REAL MADRID SISI HAWATUSUMBUI KULIKO HAWA WALIOBAKIA ATHLETIC MADRID . CELTA VIGO . SEVILA HIZI TIMU ZINASUMBUA
 
Back
Top Bottom