FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona kwa sasa ina moto kama ile ya Guandiola. Huu mwaka noa ni mwendo wa tremble. Copa dela ray hakuna wa kuwazuia. La liga madrid ndio pumzi ishawaishia. Kule ucl nawaona bayern na juventus ndo washindani waliobakia woooote ni washiriki.
 
2016-01-29_ENTRENO_19-Optimized.v1454070284.JPG
2016-01-29_ENTRENO_22-Optimized.v1454070298.JPG
 
leo tunapiga mtu kwa mara nyingine tena....Barc 4-2 Atltc M.....Mchawi 2 Suarez 2
 
Hiyo sidhani,Att boost the meanest defence in Europe-inahitajika kazi ya biblical proportions kufikia hicho kiwango anyway with the greatest strike force in football history anything can happen
kweli. mpaka sasa wamefungwa goli nane tu kama bayern. ila forward yao mbovu wakiwa na goli 30 wakati barca na madrid wanakimbilia 60.
 
Back
Top Bottom