Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watatuwezaaaaaaaaaa!? (kwa sauti ya kada wa CCM). king Messi nasikia weekend yupo mzigoni.tunamsubiri sevila tuje kutetea kikombe kama kawaida mwendo wa 5
tunamsubiri sevila tuje kutetea kikombe kama kawaida mwendo wa 5
mi hao jamaa huwa nawaogopa.hawa celta vigo mechi ya away walitupiga 4 kwa 0 hii mechi itakua mzuri ukizingatia ni home zile 4 walotupiga watajutia visca el barca
Hivi final si inapigwa Camp Nou?tunamsubiri sevila tuje kutetea kikombe kama kawaida mwendo wa 5
Wehu tu hao, duniani mtu wa kuogopwa kwa Barca labda ni Atletico Madrid. Hawa waliobaki ni vibonde tu dunia nzima.mi hao jamaa huwa nawaogopa.
Wehu tu hao, duniani mtu wa kuogopwa kwa Barca labda ni Atletico Madrid. Hawa waliobaki ni vibonde tu dunia nzima.