FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu nahitaji program nzuri ya kuchek mechi.live stream katika cm, program ipi nzuri?
cheki hii ila sina uhakika kama itafunguka katika simu jaribu kwanza kuangalia video ambazo zipo hapo za mechi zilizopita then uje na feedback
 
Aleyn mwambie pnc anirejeshe kwenye kundi letu la WhatsApp
 
...kesho game yenu na Celta Vigo mkishinda mtajiweka pazuri kutetea ubingwa.Jamaa wamekuwa wanawasumbua siku za karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…