Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusifu sana odds zote ziko against Arsenal lakini wewe hukati tamaaSasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815
hawataamini. ngoja niwacheki Napoli na Milan kama appetizer.Kesho muingereza tutampiga kama amesimama
Ha ha haaa..ila milan ana kibarua kigum apo! Ngoja tuonehawataamini. ngoja niwacheki Napoli na Milan kama appetizer.
Ni wale wasiotazama mpira kwa makini ndio hawatamuona shujaa Sergio, jamaa kwanza akicheza yeye utaona timu inamiliki mpira vema sana.Kuna mtu mm pale barca namwita shujaa asietambulika sergio bosquet...game ambayo hayupo ndo utaona umuhim wake bilv m aisee
Javier ni kilaka mzur, pia nawaza turan akizoea mazingira ya timu pale kati sijui patakua moto sana, aisee sergio ni mzur sana anaifanya timu inamiliki mpiraNi wale wasiotazama mpira kwa makini ndio hawatamuona shujaa Sergio, jamaa kwanza akicheza yeye utaona timu inamiliki mpira vema sana.
Sergio anajua kujipanga na kumpanga Rakitic, Iniesta ameshamzoea Sergio na wanajuana kwa mda mrefu sana.
Sergio anaimalika siku hadi siku, jamaa hana makuu uwanjani na ametulia sana.
Ila Sergio hata asipokuwepo kwa Game kubwa nafasi yake akikaa Javier huwa anaimudu kwa kiasi flani, uzuri ni kwamba Javier ni kilaka ambaye sehemu yoyote anakaa na hakuangushi, itokee tuu mpira umkatae.
Naona umetufata kuja kututibuaSasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815
Sasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815
Tulia wewe mda wa kunyolewa umekaribiaSasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815
Sasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815
Sasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815
hapo kwenye bold nimeona wanadanganyana kwenye uzi wao eti viungo wao wamiliki sana mpira.nilitabasamu kidharau🙂.Arsenal supporters must be shitting in their pants-how do they contain the greatest strike force in football history-ofcourse miracles do happen,but what an uphill task-Earthlings are about to be entertained with tik taka at its very best- No one does it better
Kupitia simu au computer?Aisee nataka kuchek game online nipen app ya kuchek