FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815
 
Nakusifu sana odds zote ziko against Arsenal lakini wewe hukati tamaa
 
Kuna mtu mm pale barca namwita shujaa asietambulika sergio bosquet...game ambayo hayupo ndo utaona umuhim wake bilv m aisee
Ni wale wasiotazama mpira kwa makini ndio hawatamuona shujaa Sergio, jamaa kwanza akicheza yeye utaona timu inamiliki mpira vema sana.
Sergio anajua kujipanga na kumpanga Rakitic, Iniesta ameshamzoea Sergio na wanajuana kwa mda mrefu sana.
Sergio anaimalika siku hadi siku, jamaa hana makuu uwanjani na ametulia sana.
Ila Sergio hata asipokuwepo kwa Game kubwa nafasi yake akikaa Javier huwa anaimudu kwa kiasi flani, uzuri ni kwamba Javier ni kilaka ambaye sehemu yoyote anakaa na hakuangushi, itokee tuu mpira umkatae.
 
Javier ni kilaka mzur, pia nawaza turan akizoea mazingira ya timu pale kati sijui patakua moto sana, aisee sergio ni mzur sana anaifanya timu inamiliki mpira
 
Naona umetufata kuja kututibua
 

Mbona hizo options zote zipo kwa muhindi na mzungu we nenda kabet tu huko.
 
Tulia wewe mda wa kunyolewa umekaribia
 

Umefata nini weye? Huku c mahala pako,nenda madrinyonya kwa watoto wenzako, huku kwa wakubwa banaaa!
 


😀 arsenal na BARCAZ wapi na wapi godo! ka ni mtihani ushafeli weye😀
 
ni wakati wetu arsenal kumnyonga mtu mabao 2 bila ndani ya dimba la emirate. barca hatoki leo.
 
Arsenal supporters must be shitting in their pants-how do they contain the greatest strike force in football history-ofcourse miracles do happen,but what an uphill task-Earthlings are about to be entertained with tik taka at its very best- No one does it better
 
hapo kwenye bold nimeona wanadanganyana kwenye uzi wao eti viungo wao wamiliki sana mpira.nilitabasamu kidharau🙂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…