FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

1456266518755.jpg
 
Kuna mmoja anajiitaga Mtakatifu Carzolà bar flani Night park hapa mianzini-Arusha...

Jamaa Lina kelelle kama vile umefunga speaker .

Leo kapiga bia tuu. Ila kwanzia dakik ya 72 sikumuona tenaaa[/QUUOT/]

😀😀😀
 
President wa Barca amesema mpinzani wetu si Real Madrid tena,wapinzani sasa watakuwa timu za EPL,hasa Man City watakapokua chini ya Guadiola-kuna ukweli hapa unless Madrid wa overhaul timu karibu yote
 
Juventus walijitutumua jana. kutoka nyuma goli mbili. ili watanue uwanja. mashabiki 41,000! sasa wakienda allianz kwa watu 75,000 si watachanganyikiwa.

😀😀 wanakazi kwelikweli, maana walivyokua wanapelekeshwa speed nikajua zitafika 4
 
wapinzani wetu RM si mda mrefu wataanza kumsema zizou hafai ngoja wiki ijayo tena aje kupata kipigo kutoka kwa celta de vigo
 
wapinzani wetu RM si mda mrefu wataanza kumsema zizou hafai ngoja wiki ijayo tena aje kupata kipigo kutoka kwa celta de vigo
Na pale kipigo kitawahusu. Nolito karudi toka injury na jana katupia
 
Diego Simeone: "Lionel Messi is more dangerous than Benzema, Bale and Cristiano combined."

Simeone knows.
 
Back
Top Bottom