Barca kama yanga tu na arsena kama simba tu. Marangi mekundu siku zite hayana utukufu.told ya. 2-0.
Kuna mmoja anajiitaga Mtakatifu Carzolà bar flani Night park hapa mianzini-Arusha...
Jamaa Lina kelelle kama vile umefunga speaker .
Leo kapiga bia tuu. Ila kwanzia dakik ya 72 sikumuona tenaaa[/QUUOT/]
😀😀😀
Juventus walijitutumua jana. kutoka nyuma goli mbili. ili watanue uwanja. mashabiki 41,000! sasa wakienda allianz kwa watu 75,000 si watachanganyikiwa.
Juventus walijitutumua jana. kutoka nyuma goli mbili. ili watanue uwanja. mashabiki 41,000! sasa wakienda allianz kwa watu 75,000 si watachanganyikiwa.
Na pale kipigo kitawahusu. Nolito karudi toka injury na jana katupiawapinzani wetu RM si mda mrefu wataanza kumsema zizou hafai ngoja wiki ijayo tena aje kupata kipigo kutoka kwa celta de vigo