Heshima mkuu ni mhimSipati picha Classico itakuaje ila kutokana na ugumu wa Game ya J4, sidhani kama tutaingia uwanjani kwa kufa na kupona. Game ya J4 ni muhimu kuliko Classico.
Sipati picha Classico itakuaje ila kutokana na ugumu wa Game ya J4, sidhani kama tutaingia uwanjani kwa kufa na kupona. Game ya J4 ni muhimu kuliko Classico.
Eti nimeona messi kavaa BWIN Sijui fly nini Eti ni nini? @ everlenk ukuje unieleweshe na wew maana sikuhizi nasoma habari za fesibuku tuu.
Hujambo?Eti nimeona messi kavaa BWIN Eti ni nini? @ everlenk ukuje unieleweshe na wew maana sikuhizi nasoma habari za fesibuku tuu.
Dadeeeeek wamenikamata aisee. Nilikuwa nimempania PNC sijui angekimbilia wapi yaani.Hujambo?
Leo ni sikukuu ya wajinga Mkuu, Goal.com waliamua kuwatikisa mioyo mashabiki wa Man U, Real Madrid, Arsenal na wooooote wasioipenda Barca na Messi kwamba King Lionel Messi amejiunga na Real Madrid.
Hizo habari ni za uongo, Messi mwenyewe kasema akitoka Barca ataenda zake kwao kumalizia Soka. Hawezi kuvaa Jezi ya Madrid yule na alishawatolea nje mara 3.
Ahahahahahahahahahahaha yaani mimi asubuhi ile naingia Goal.com tu wacha nipigwe na butwaa, nikaanza kusoma habari huku nikiwa siamini macho yangu. Moyoni yakawa yanantoka maneno mazito mazito, mwisho kabisa wakaandika wanatutakia 1st April njema, nkakumbuka kumbe leo sikukuu ya wajingaaaaa.Dadeeeeek wamenikamata aisee. Nilikuwa nimempania PNC sijui angekimbilia wapi yaani.
Mimi sijambo .mambo vipi?
Mimi nilisoma na tabasamu muruaaaa huku nafikiria nitatoa wapi bando nije kusumbua. Nimejichanga weeeee nikajiunga tuMB tudogo kumbe si kweli agrrrrrrrrrrAhahahahahahahahahahaha yaani mimi asubuhi ile naingia Goal.com tu wacha nipigwe na butwaa, nikaanza kusoma habari huku nikiwa siamini macho yangu. Moyoni yakawa yanantoka maneno mazito mazito, mwisho kabisa wakaandika wanatutakia 1st April njema, nkakumbuka kumbe leo sikukuu ya wajingaaaaa.
Ahahahahahahahahahahahaha dah mkuu wakati nasoma hiyo habari yamentoka maneno mazitooooooo!!!!Mimi nilisoma na tabasamu muruaaaa huku nafikiria nitatoa wapi bando nije kusumbua. Nimejichanga weeeee nikajiunga tuMB tudogo kumbe si kweli agrrrrrrrrrr
Ila bora sio kweli maana yule andunje angenifanya nisishabikie tena realAhahahahahahahahahahahaha dah mkuu wakati nasoma hiyo habari yamentoka maneno mazitooooooo!!!!
Ungeenda Barca?Ila bora sio kweli maana yule andunje angenifanya nisishabikie tena real
Greece fc ningeendaUngeenda Barca?
Ndo ya wapi huko mkuu?Greece fc ningeenda
Huku ni Iceland mkuu. HahahaNdo ya wapi huko mkuu?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] huyo ke anaukuu ganiAhahahahahahahahahahahaha dah mkuu wakati nasoma hiyo habari yamentoka maneno mazitooooooo!!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mimi najiamini istoshe Barcelona naijua toka nimeanza ishabikia 1986 kipind hiko hata Messi hajazaliwa nipo namshabikia Maradona na akaniacha BarcelonaNamwona PNC 1 anapiga misele itakuwa anajua hii taarifa ni ya kweli.. mwokoeni mwenzenu
Bwahahahahahaaa nani ke? Nitakuremove[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] huyo ke anaukuu gani