FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

😛😛😛 Jamani tumepiga mtu 5 kavu, j pili iliyopita

Screenshot_2016-03-31-20-16-45-1.png
 
Eti nimeona messi kavaa BWIN Eti ni nini? @ everlenk ukuje unieleweshe na wew maana sikuhizi nasoma habari za fesibuku tuu.
Hujambo?

Leo ni sikukuu ya wajinga Mkuu, Goal.com waliamua kuwatikisa mioyo mashabiki wa Man U, Real Madrid, Arsenal na wooooote wasioipenda Barca na Messi kwamba King Lionel Messi amejiunga na Real Madrid.

Hizo habari ni za uongo, Messi mwenyewe kasema akitoka Barca ataenda zake kwao kumalizia Soka. Hawezi kuvaa Jezi ya Madrid yule na alishawatolea nje mara 3.
 
Dadeeeeek wamenikamata aisee. Nilikuwa nimempania PNC sijui angekimbilia wapi yaani.
Mimi sijambo .mambo vipi?
 
Ahahahahahahahahahahaha yaani mimi asubuhi ile naingia Goal.com tu wacha nipigwe na butwaa, nikaanza kusoma habari huku nikiwa siamini macho yangu. Moyoni yakawa yanantoka maneno mazito mazito, mwisho kabisa wakaandika wanatutakia 1st April njema, nkakumbuka kumbe leo sikukuu ya wajingaaaaa.
 
Mimi nilisoma na tabasamu muruaaaa huku nafikiria nitatoa wapi bando nije kusumbua. Nimejichanga weeeee nikajiunga tuMB tudogo kumbe si kweli agrrrrrrrrrr
 
Ahahahahahahahahahahahaha dah mkuu wakati nasoma hiyo habari yamentoka maneno mazitooooooo!!!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Namwona PNC 1 anapiga misele itakuwa anajua hii taarifa ni ya kweli.. mwokoeni mwenzenu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom