FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mimi najiamini istoshe Barcelona naijua toka nimeanza ishabikia 1986 kipind hiko hata Messi hajazaliwa nipo namshabikia Maradona na akaniacha Barcelona
Hahahaaaa na mm naona. Wew si umezaliwa 2000 wew?
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] uniremove unafikir ni wasap hii Hapa ni home of Great Thinker especially Barcelona Fans
Viandunje fc eeeeh
 
Reactions: PNC
Hahahaaaa na mm naona. Wew si umezaliwa 2000 wew?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] una haki ya kusema hvo sababu umeikuta tz ikiwa tulivu kipind tunamuondoa nduli ulikuwa hujazaliwa
 
Kwanza timu ikifunga sana hainogi
 
Reactions: PNC
Kwanza timu ikifunga sana hainogi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hyo ndio mana EPL timu zinafungana hovyo bila mpangilio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio inanoga maana unaangalia bila kujua matokeo yatakuwaje. Barca ni sawa na kuangalia muv huku unajua inaishiaje
 
Reactions: PNC
Ndio inanoga maana unaangalia bila kujua matokeo yatakuwaje. Barca ni sawa na kuangalia muv huku unajua inaishiaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo unanifurahisha sana kwa hyo ushajua kuwa hata Uefa lazma abebe
 
PNC 1 Leo mabeki wenu mnawaona hawafai. Hao mabeki type ya arsenal na liver sio man united
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa man u ingekuwa na beki wangekuwa nje ya top 4
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa man u ingekuwa na beki wangekuwa nje ya top 4
Mdogo mdogo tu. Kwahiyo Chelsea nao hawana beki au. Kwahiyo Leicester city wametuzidi man united Chelsea Liverpool
 
Reactions: PNC
Mdogo mdogo tu. Kwahiyo Chelsea nao hawana beki au. Kwahiyo Leicester city wametuzidi man united Chelsea Liverpool
Ndio mmezidiwa na Leicester ndio maana wapo juu yenu kuhusu yokobus huwa siwez wazungumzia nitaijadilije timu iliyonafas ya 10 ila kuhusu Liverfoool inabid wakaze japo kuongoza 2:0 alaf full time 3:2 dhidi ya Southampton ni tatzo katika ndoto za top 4
 
Wale mdogo wamebahatisha msimu huu. Liver nayo timu basi.

Sema msimu tumepoteza, to be honest. Ngoja tukaze angalau tuingie top 4.
 
Reactions: PNC
Wale mdogo wamebahatisha msimu huu. Liver nayo timu basi.

Sema msimu tumepoteza, to be honest. Ngoja tukaze angalau tuingie top 4.
Mwaka juzi hamkuwepo top 4 mwaka jana mmeingia top 4 ila mmeambulia matokeo mabaya na mwaka huu tena bado mna hali mbaya kiufup muenendo wa LVG ni wa kubahatisha ila shukuruni kwenda nje mapema maana safar hii kikaratas mlikuwa mnaokota cha Barcelona 16 bora cjajua MSN ingezuiwa na smalling au blind [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] MNA BAHAT SANA
 
Siwezi kusahau hiyo. Yote aliyataka Moyes aisee. Ule msimu ulikuwa mbaya sana.

Hiyo MSN kwa blind na smalling watakaa tu hahaha pagumu hapo.

Kwa hizi mechi zilizobaki inatakiwa tufanye vizuri ili tuingie top4
 
Kiuhalisia top 4 labda mumtoe Tottenham ila tofaut na hapo mtafuzu Europa na huko mkikutana na timu za Spain ni maumivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…