PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] uniremove unafikir ni wasap hii Hapa ni home of Great Thinker especially Barcelona FansBwahahahahahaaa nani ke? Nitakuremove
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] uniremove unafikir ni wasap hii Hapa ni home of Great Thinker especially Barcelona FansBwahahahahahaaa nani ke? Nitakuremove
Hahahaaaa na mm naona. Wew si umezaliwa 2000 wew?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mimi najiamini istoshe Barcelona naijua toka nimeanza ishabikia 1986 kipind hiko hata Messi hajazaliwa nipo namshabikia Maradona na akaniacha Barcelona
Viandunje fc eeeeh[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] uniremove unafikir ni wasap hii Hapa ni home of Great Thinker especially Barcelona Fans
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] una haki ya kusema hvo sababu umeikuta tz ikiwa tulivu kipind tunamuondoa nduli ulikuwa hujazaliwaHahahaaaa na mm naona. Wew si umezaliwa 2000 wew?
Kwanza timu ikifunga sana hainogi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] una haki ya kusema hvo sababu umeikuta tz ikiwa tulivu kipind tunamuondoa nduli ulikuwa hujazaliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hyo ndio mana EPL timu zinafungana hovyo bila mpangilio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza timu ikifunga sana hainogi
Ndio inanoga maana unaangalia bila kujua matokeo yatakuwaje. Barca ni sawa na kuangalia muv huku unajua inaishiaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hyo ndio mana EPL timu zinafungana hovyo bila mpangilio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo unanifurahisha sana kwa hyo ushajua kuwa hata Uefa lazma abebeNdio inanoga maana unaangalia bila kujua matokeo yatakuwaje. Barca ni sawa na kuangalia muv huku unajua inaishiaje
Mdogo mdogo tu. Kwahiyo Chelsea nao hawana beki au. Kwahiyo Leicester city wametuzidi man united Chelsea Liverpool[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa man u ingekuwa na beki wangekuwa nje ya top 4
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] huyo ke anaukuu gani
Ndio mmezidiwa na Leicester ndio maana wapo juu yenu kuhusu yokobus huwa siwez wazungumzia nitaijadilije timu iliyonafas ya 10 ila kuhusu Liverfoool inabid wakaze japo kuongoza 2:0 alaf full time 3:2 dhidi ya Southampton ni tatzo katika ndoto za top 4Mdogo mdogo tu. Kwahiyo Chelsea nao hawana beki au. Kwahiyo Leicester city wametuzidi man united Chelsea Liverpool
Wale mdogo wamebahatisha msimu huu. Liver nayo timu basi.Ndio mmezidiwa na Leicester ndio maana wapo juu yenu kuhusu yokobus huwa siwez wazungumzia nitaijadilije timu iliyonafas ya 10 ila kuhusu Liverfoool inabid wakaze japo kuongoza 2:0 alaf full time 3:2 dhidi ya Southampton ni tatzo katika ndoto za top 4
Mwaka juzi hamkuwepo top 4 mwaka jana mmeingia top 4 ila mmeambulia matokeo mabaya na mwaka huu tena bado mna hali mbaya kiufup muenendo wa LVG ni wa kubahatisha ila shukuruni kwenda nje mapema maana safar hii kikaratas mlikuwa mnaokota cha Barcelona 16 bora cjajua MSN ingezuiwa na smalling au blind [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] MNA BAHAT SANAWale mdogo wamebahatisha msimu huu. Liver nayo timu basi.
Sema msimu tumepoteza, to be honest. Ngoja tukaze angalau tuingie top 4.
Siwezi kusahau hiyo. Yote aliyataka Moyes aisee. Ule msimu ulikuwa mbaya sana.Mwaka juzi hamkuwepo top 4 mwaka jana mmeingia top 4 ila mmeambulia matokeo mabaya na mwaka huu tena bado mna hali mbaya kiufup muenendo wa LVG ni wa kubahatisha ila shukuruni kwenda nje mapema maana safar hii kikaratas mlikuwa mnaokota cha Barcelona 16 bora cjajua MSN ingezuiwa na smalling au blind [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] MNA BAHAT SANA
Kiuhalisia top 4 labda mumtoe Tottenham ila tofaut na hapo mtafuzu Europa na huko mkikutana na timu za Spain ni maumivu tuSiwezi kusahau hiyo. Yote aliyataka Moyes aisee. Ule msimu ulikuwa mbaya sana.
Hiyo MSN kwa blind na smalling watakaa tu hahaha pagumu hapo.
Kwa hizi mechi zilizobaki inatakiwa tufanye vizuri ili tuingie top4
Ahahahahahahahahahahaha!!!PNC 1 Leo mabeki wenu mnawaona hawafai. Hao mabeki type ya arsenal na liver sio man united
Kanantaka haka kabibie, Dota wangu everlenk hapaswi kuona baba yake nikifanyie hivi.Nami nashangaa eti mkuu😀😀 Allein vipii..hako kabibie [emoji14]