FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Man u msipomfukuza LVG mtakuwa kama Aston Villa hata sie Barcelona tulimtimua baada ya kuona anataka tushusha daraja
Umetushusha sana kuwa kama Aston Villa. Ngoja tuone mwisho wa msimu kitatokea nini maana naona huyu lvg anatuzingua tu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila uzur timu sio kabila hivyo nakukaribisha NOU CAMP
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] asante sana
 
  • Thanks
Reactions: PNC
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] asante sana
1459528561654.jpg
kadi ya uanachama[emoji4] [emoji4]
 
Ndugu unataka nibadilishe gia angani au? Hahahaha ngoja nikomae huku huku ila jua kuwa nawaombea njaa game yenu na Real Madrid [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzur hata ukituombea njaa ushindi lazma
 
PNC 1 Unajua bhan unapo muombea adui yako apoteze inatakiw na ww ushinde maan na ww ukipoza na walioko chini yako nao wanakuombea upotezeee ili wakabe nafac yako da! Kwel ligi kuu ya EPL ni hatariii
 
  • Thanks
Reactions: PNC
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] na wao arsenal wa sahau ubingwa kabisa
 
PNC 1 Unajua bhan unapo muombea adui yako apoteze inatakiw na ww ushinde maan na ww ukipoza na walioko chini yako nao wanakuombea upotezeee ili wakabe nafac yako da! Kwel ligi kuu ya EPL ni hatariii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uko sahihi mkuu yani wanawaombea wenzie mabaya wakat wao wanafanya vibaya
 
Back
Top Bottom