Man u msipomfukuza LVG mtakuwa kama Aston Villa hata sie Barcelona tulimtimua baada ya kuona anataka tushusha daraja[emoji2] [emoji2] [emoji2] duuuh. Kushangilia muhimu hasa kwa misimu hii mitatu ni tabu tu
Umetushusha sana kuwa kama Aston Villa. Ngoja tuone mwisho wa msimu kitatokea nini maana naona huyu lvg anatuzingua tuMan u msipomfukuza LVG mtakuwa kama Aston Villa hata sie Barcelona tulimtimua baada ya kuona anataka tushusha daraja
LVG mjanja sana mnaharibu mechi 5 alaf mnashinda 2 kwa kuwapooza. Kiufup kocha ni jipu kama wengerUmetushusha sana kuwa kama Aston Villa. Ngoja tuone mwisho wa msimu kitatokea nini maana naona huyu lvg anatuzingua tu
Anakuwa kama panya anang'ata na kupuliza ili usisikie maumivuLVG mjanja sana mnaharibu mechi 5 alaf mnashinda 2 kwa kuwapooza. Kiufup kocha ni jipu kama wenger
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila uzur timu sio kabila hivyo nakukaribisha NOU CAMPAnakuwa kama panya anang'ata na kupuliza ili usisikie maumivu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] asante sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila uzur timu sio kabila hivyo nakukaribisha NOU CAMP
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] asante sana
Ndugu unataka nibadilishe gia angani au? Hahahaha ngoja nikomae huku huku ila jua kuwa nawaombea njaa game yenu na Real Madrid [emoji1] [emoji1]View attachment 334083 kadi ya uanachama[emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzur hata ukituombea njaa ushindi lazmaNdugu unataka nibadilishe gia angani au? Hahahaha ngoja nikomae huku huku ila jua kuwa nawaombea njaa game yenu na Real Madrid [emoji1] [emoji1]
Nyie mliwafunga kwao, na wao watawafunga kwenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzur hata ukituombea njaa ushindi lazma
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ingekuwa ni hvo Arsenal angetufunga kwetuNyie mliwafunga kwao, na wao watawafunga kwenu
Acha kufananisha Madrid na wale watoto bhana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ingekuwa ni hvo Arsenal angetufunga kwetu
Ucwadharau Arse8 7bu mara ya mwisho kukutana na Madrid walimpiga palepale kwao BernabeuAcha kufananisha Madrid na wale watoto bhana
Nimeupata tutaonana kesho 21:30 mda wa game hiyo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uko sahihi mkuu yani wanawaombea wenzie mabaya wakat wao wanafanya vibayaPNC 1 Unajua bhan unapo muombea adui yako apoteze inatakiw na ww ushinde maan na ww ukipoza na walioko chini yako nao wanakuombea upotezeee ili wakabe nafac yako da! Kwel ligi kuu ya EPL ni hatariii