FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

uwez mfananisha MESSI na CR7 Mess myafutaji na huyo anasubit kuletew ndo maan anaitwa nyama
 
Reactions: PNC
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kiukweli binafs nisiwe mnafiki huwa siipend man u hivyo kama big 4 mtafaulu au mshindwe kwangu yote sawa japo maombi yangu mshuke hata daraja [emoji4] [emoji4]
Mi nawaombea wasonge mbele ili tujs tujengeane heshima UEFA!
 
Ahahahahahahahahahahahahaha!!!
 
Reactions: PNC
Bacerlon na wao kama watacheza bila ya umakin flan wanaweza kuja kosa kommbe maan kama sevilla na wapo vizur. Usishangae kuona barca wanatoka rob final thid ya diogo simion
 
Bacerlon na wao kama watacheza bila ya umakin flan wanaweza kuja kosa kommbe maan kama sevilla na wapo vizur. Usishangae kuona barca wanatoka rob final thid ya diogo simion
Wewe ni Barcelona mwenzangu ila uchambuz wako huu siukubali hata kidogo[emoji53] [emoji53]
 
Football shoes za Messi,Suarez na Neymar,zimewekewa chip maalum ambazo zitawezesha camera 30 kuwafuatilia kila movement zao for entire 90 minutes
 
Bacerlon na wao kama watacheza bila ya umakin flan wanaweza kuja kosa kommbe maan kama sevilla na wapo vizur. Usishangae kuona barca wanatoka rob final thid ya diogo simion
We sio mchambuzi, embu tulia sasa. Nilitaka nikuunganishe na Azam Sports HD ila nakuona hamna kitu.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…