Mla mla leo mla jana kala nini...Nyie goli mlilofunga lilikuwa la rede au? Umesahau zile nne?
hakumpiga kanzu Dinho, alimpiga Kanzu Ronaldo De Lima, And kuwa great player hakukufanyi uwe great Coach..Luis Enrique is MILES better katika suala la umanager kuliko Zidane, japo hakuwa mchezaji mzuri zaidi ya zidane..Nakumbuka world cup moja ivi wakati ronaldihno yuko on fire zizzou alimpiga darizi yeye na wenzake na kuwaonyesha hakunaga
Siku nzima hukuwepo,umekuja wewe mwenye damu ya man u Barca tumefungwaLet's do this Barca. .......Vamos Vamos Barca.....am hunger for laughter plz.....
Salama kabisa ,..Bashalona kapakatwaWakuu tuombeane kesho tuamke salama.
mkuu nilijua wewe ni Barcelonista?Salama kabisa ,..Bashalona kapakatwa
Kandambili + Mansheeder & Madridmkuu nilijua wewe ni Barcelonista?
usilete mkuu. huu msiba wa tajiri. we njoo kula pilau na maji ya dukani.Nitarudi kesho kuleta rambirambi yangu niliyoahidi mchana!
Usijali nduguWakuu tuombeane kesho tuamke salama.