mkuu tiki taka ni aina ya total football ambayo iko advanced. kwenye total football mchezajj anatakiwa awe anaweza kucheza nafasi nyingi. usiwaone wakina Pique, Macherano, Alba na Alves wanapanda sana na wanachanganyikiwa tukipigwa kaunta ukadhani ni ukuta mbovu. ni style tuliyoamua kucheza na style zote huwa hazikosi kasoro.Hufikirii kuwa hiyo 30%ya adui kama huna beki nzuri ndo itakuwa anguko lenu?sote tunafahamu umuhimu wa ukuta mzuri hata utawale vipi mpira ila kama huna watu wazuri pale kati ipo siku utaona umuhimu wao.
Kwa hiyo macherano na pique ni watamu ukilinganisha na mabeki wa kati wanao kubalika katika ubora?Aliyekwambia Barcelona haina watu wazuri kati ni nani??
Kwa hyo Mascherano hana uboraKwa hiyo maserano na pique ni watamu ukilinganisha na mabeki wa kati wanao kubalika katika ubora?
Washindi mara 5 wa UCL nyuma ya Madrid 10 na milan 7.
El classico: kwa mechi za mashindano Madrid kashinda 92 na Barcelona kashinda 90. Kwa zote Barcelona kashinda 109 na Madrid 96.
Nimekuelewa vizuri ndugu kwa mfano ulioutoa ndo maana nikasema kumpata mtu kama puyol ni muhimu sana coz alikuwa ni kiongozi na pia majukumu yake alikuwa akitekeleza uzuri.mkuu tiki taka ni aina ya total football ambayo iko advanced. kwenye total football mchezajj anatakiwa awe anaweza kucheza nafasi nyingi. usiwaone wakina Pique, Macherano, Alba na Alves wanapanda sana na wanachanganyikiwa tukipigwa kaunta ukadhani ni ukuta mbovu. ni style tuliyoamua kucheza na style zote huwa hazikosi kasoro.
Mkuu ile dozi leo itumie yani ukiona Jina Barcelona unajisikia kuziraiKwanza kwenye hii page yenu inabidi mfanye editing hizi data zishapitwa na wakati.
Kuna mdau hapo juu kaandika vizuri kuwa barca hamuhitaji kuwa na ukuta mzuri coz 70%ya mpira mnamiliki nyie ndo nikamjibu hiyo asilimia 30 iliyobaki siku mkikutana na watu wakaizidi ujanja hapo kati ndo mtaona matatizo yake.So macherano ni mchezaji wa kawaida tu .Kwa hyo Mascherano hana ubora
Hawawezi kukujibu hili swali.hivi unaposema barcelona hakuna beki nzuri nikuelewaje,labda unitajie huyo beki mbovu maana mm sijaona
achana na mascherano. sliding tackle master,kimo ndio kinamsumbua mipira ya juuu. barca tunacheza zaidi kwa ku attack na tunakaaa na mpira zaidi. Afu juzi tulitumia diamond formation na sio 4-3-3 flat.Kuna mdau hapo juu kaandika vizuri kuwa barca hamuhitaji kuwa na ukuta mzuri coz 70%ya mpira mnamiliki nyie ndo nikamjibu hiyo asilimia 30 iliyobaki siku mkikutana na watu wakaizidi ujanja hapo kati ndo mtaona matatizo yake.So macherano ni mchezaji wa kawaida tu .
Mkuu akeem mnakuwepogi wapi kuchangia jukwaani wakat wachambuz wazur mpo yani mnaonekana had mtu aiponde Barca au siku ya mechi Muwe mnakikumbuka jukwaa kutupatia nguvu tunaolala humuhumuachana na mascherano. sliding tackle master,kimo ndio kinamsumbua mipira ya juuu. barca tunacheza zaidi kwa ku attack na tunakaaa na mpira zaidi. Afu juzi tulitumia diamond formation na sio 4-3-3 flat.
Game ya juzi madrid walishindwa kutokana pia na kutokuwa makini kwenye finishing.
Wengi mnataman barca ife
Die hard yukoje na ndio mtu gani na anapaswa kushangilia timu ganiMkuu huyo sio shabiki wa mpira bali kadandia treni la Messi tu. QATARunya Haina die hard fans umeona juzi Messi wao kafichwa hawakuja kutoa analyse ya game kwasababu hawaangaliagi mpira wanasubiri Messi afunge goli watupigie kelele humu.
Kwa hyo mascherano unamfananisha na nani pale manyang'auKuna mdau hapo juu kaandika vizuri kuwa barca hamuhitaji kuwa na ukuta mzuri coz 70%ya mpira mnamiliki nyie ndo nikamjibu hiyo asilimia 30 iliyobaki siku mkikutana na watu wakaizidi ujanja hapo kati ndo mtaona matatizo yake.So macherano ni mchezaji wa kawaida tu .
Bado unaendelea kushabikia mpira tu?Die hard yukoje na ndio mtu gani na anapaswa kushangilia timu gani
Maana daily nawasikia mkisema Barcelona hawana die hard
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa nitaachaje kuishabikia Fc Barcelona kwani imenikosea niniBado unaendelea kushabikia mpira tu?
Nauliza tu
Tatizo ile kauli.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa nitaachaje kuishabikia Fc Barcelona kwani imenikosea nini
Mkuu ile kauli imenukuliwa vibaya ni hiviTatizo ile kauli.
Hahahahaha unaleta aggregate kwenye ligi ile ndugu. Vipi kwa atleticoMkuu ile kauli imenukuliwa vibaya ni hivi
0:4 1:2 = 5:2
Barcelona Win 5:2