Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
mkuu tiki taka ni aina ya total football ambayo iko advanced. kwenye total football mchezajj anatakiwa awe anaweza kucheza nafasi nyingi. usiwaone wakina Pique, Macherano, Alba na Alves wanapanda sana na wanachanganyikiwa tukipigwa kaunta ukadhani ni ukuta mbovu. ni style tuliyoamua kucheza na style zote huwa hazikosi kasoro.Hufikirii kuwa hiyo 30%ya adui kama huna beki nzuri ndo itakuwa anguko lenu?sote tunafahamu umuhimu wa ukuta mzuri hata utawale vipi mpira ila kama huna watu wazuri pale kati ipo siku utaona umuhimu wao.