FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wachambuz wote wa Supersport world of champions walipoambiwa kila mtu atabir ni ushind wa ngapingapi leo kila mtu ameitabiria Barcelona ushindi mwingine 3:1 2:0 4:0 3:1 sasa wewe mbongo wa Tandale unasema kuwa Barcelona anafungwa
only in Tanzania


We unafikiri wabongo wote wanakaa Tandale? Nenda kadai hela yako kwa wachambuzi wa Supersport
 
Mkipewa red mnasema Barcelona anabebwa
 
Neymar anavyojua ku-dive, waangalie hawa Barca wamezoea kubebwa Refa anaweza kumpa mtu red isiyo na macho hapa
 
Nishasema huyu kipa maandazi ***** kabisa
 
B
A
S
H
A
L
O
N
A

Oyeeeeee.......
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Barcelona lini mtaacha kubebwa? Rushwa inaharibu Football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…