FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Japo torres kafanya uzembe ila hakupaswa redcard, refa hajafanya fair
 
Atletico daaaaah aiseee haters punguzeni kubinya pumb*
 
Mabeki wanne??
Msimlaumu kipa, rudia kuangalia lile goli uone Torre mjanja Sana, kulikuwa na mabeki wanne pale. Lakini wote hawakumuona, ni uzembe wao. Subiri Griezman atatupia kama lile
 
mwekundu upo wapi lakini rafiki yangu?Toka Barca ianze kunyukwa huonekani kabisa,yaani nimekumention ila naona kimya sana,au ulishameza kisu?
 
Mpira umeisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom