Weee unaangalia possession au magoli?
Barcelona lini mtaacha kubebwa? Rushwa inaharibu Football.
Haters lazma mlieSasa refa kafanya nini? Ameona torres atawanyanyasa barca?
Mzee Mbashalona unanifurahishaga sanaRed card ya halali kabisa tena yeye hajalalamika ila huyu bitoz na pagan wanalalamika
Nisisikie unalalamika tenaRed card Haina madhara Sana kwa Atleti kipindi cha pili zitapigwa counter attack hapa. Mtaniambia sasa hivi wanarelax tu
Messi anaua timu kabisa,hapa atolewe aingie sergi roberto
Hata ingekuwa mimi ningeibeba'mfano barca akienda final na buyern mapesa yatakuwa mengi kuliko barca kwenda final na timu kama psg sasa kwa nini nisiibebe barcaBarcelona lini mtaacha kubebwa? Rushwa inaharibu Football.
Weee unaangalia possession au magoli?
Nishasema huyu kipa maandazi ***** kabisa
Nisisikie unalalamika tena
Huyu kipa sio