Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Kuanzia 2006 mpaka 2016😀😀😀 UJIPANGE KI GOOGLE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia 2006 mpaka 2016😀😀😀 UJIPANGE KI GOOGLE
Ndio kuanzia 2006 had sasa orodhesha makombe yako yote uliyochukua bila kusahau makombe ya mbuzi maana hayo ndiyo mengiKuanzia 2006 mpaka 2016
[emoji2] [emoji2]PNC anakuambia ujipange ki google😛😀
TULIWAPENDA SAAAANA ILA HITLER KAWAPENDA ZAIDI.R.I.P R.MADRID
Najua uko chini ya uvungu unachungulia kama kawaida yakoTULIWAPENDA SAAAANA ILA HITLER KAWAPENDA ZAIDI.R.I.P R.MADRID
Mambo ya utabiri haya muachie mtoto wa sheikh Yahya, sio fani yako naona kila unapogusa mambo yanaenda sivyo! Haya, tupe utabiri wa kesho A.Madrid na Barca.TULIWAPENDA SAAAANA ILA HITLER KAWAPENDA ZAIDI.R.I.P R.MADRID
Mmeshapoteana sasa hivi watu wanajipigia tu, kesho mnapigwa cha nguruwe tu kinawatosha.Kesho BARCELONA itawakata vilimi wale wote wanaoiombea mabaya VIVA BARCELONA CHAMA LETU KUTOKA MOYONI
Najua uko chini ya uvungu unachungulia kama kawaida yako
Mambo ya utabiri haya muachie mtoto wa sheikh Yahya, sio fani yako naona kila unapogusa mambo yanaenda sivyo! Haya, tupe utabiri wa kesho A.Madrid na Barca.
Ninauliza hivi Barcelona ina husiana vip na Madrid hatuwez chukia wala kufurahi kwa matokeo yao ss kilicho mbele yetu halali yetuPwaha!
Ninauliza hivi Barcelona ina husiana vip na Madrid hatuwez chukia wala kufurahi kwa matokeo yao ss kilicho mbele yetu halali yetu
Siku hizi umekuwa na adabu,Ninauliza hivi Barcelona ina husiana vip na Madrid hatuwez chukia wala kufurahi kwa matokeo yao ss kilicho mbele yetu halali yetu
😀😀 Leo watapata kichapo co chini ya goli 2 again
Walishaifunga hadi timu ya kwanza ya La Liga...kama kawa kazi ngumu mpe mnyamwezi,wao wameifunga timu ya 8 kwenye ligi wanachekeleaaa,Go Barca!