FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

TULIWAPENDA SAAAANA ILA HITLER KAWAPENDA ZAIDI.R.I.P R.MADRID
 
Ninauliza hivi Barcelona ina husiana vip na Madrid hatuwez chukia wala kufurahi kwa matokeo yao ss kilicho mbele yetu halali yetu


Kuanzia lini mambo ya Madrid hayakuhusu, au baada ya kipigo cha Nou Camp wiki iliyopita? Angalia pale juu Real Madrid imetajwa kama mara 6.
 
Reactions: PNC
...kama kawa kazi ngumu mpe mnyamwezi,wao wameifunga timu ya 8 kwenye ligi wanachekeleaaa,Go Barca!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…