HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
da!! we acha tu, barca isipoangalia itakoswa kila kitu. maana inaonekana jamaa wanameshawasoma ujanja wao.Sanaaaaa.....nimeamini ule mwiko wa kuchukua UEFA Mara mbili mfululizo hauvunjiki aiseee.....dohhh hakuna ambaye alitegemea kweli Athetico you deserve it mmejua kutumia mbinu vizuri.....Barca no plan B.....
#MchezoHuuHautakiHasiraIngekuwa ukiongoza ndio umeshinda Arsenal ingekuwa na mataji ya EPL karibia 15 tena mfululizo.
Viva Barcelona
...MSN wamechoka, kucheza msimu mzima ni tatizo!Hesabu za kocha hazijakaa sawa. Ukiona atletico kaacha ule uchezaji wa kibabe na anacheza kistaarabu lazima ujiulize mara mbili.
Pique anarukaruka tu uwanjani utafikiri SnuraChura.
Yeah sasahivi Timu zishasoma mtindo wa MSN inabidi kocha abadilishe style.....hapa tukazane na ligi na la Copa. ....da!! we acha tu, barca isipoangalia itakoswa kila kitu. maana inaonekana jamaa wanameshawasoma ujanja wao.
Ngapi ngapi aiseeIngekuwa ukiongoza ndio umeshinda Arsenal ingekuwa na mataji ya EPL karibia 15 tena mfululizo.
Viva Barcelona
Jirani nakuaminia kwa kuanzisha vigodoro.. Haya leo tunakesh hapa au?La pili kwaheriiiii Barca....see you next season mweeeee!!!!......kweli mpira unadundaaa
Pole Dada anguLa pili kwaheriiiii Barca....see you next season mweeeee!!!!......kweli mpira unadundaaa