FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

...sijui kwann Enrique kaanza kumpanga Ter stegen,sijui aliogopa ile mikwara ya dogo kutska kuondoka mwisho wa msimu coz anacheza mechi chache?!, hii game ni vita,anything is still possible!
Mkataba wa Stegen ni kuanza mechi za UEFA kama hujui. Unashangalia lakini hujui. Bendera bana
 
...sijui kwann Enrique kaanza kumpanga Ter stegen,sijui aliogopa ile mikwara ya dogo kutska kuondoka mwisho wa msimu coz anacheza mechi chache?!, hii game ni vita,anything is still possible!
Unafuatilia Barca kweli ?
Te Stegen ndio anacheza mechi za UCL tangu amesajiliwa
 
Kuna watu tayari wameshajipiga ban,Wengine sidhani kama watarudi tena,na wakirudi watakuwa na heshima ya kutosha
 
Tunashukuru kwa yote...mwaka jana tulilichukua acha wapate wengne...tujipange barca msimu ujao...tuangalie laliga sasa ambayo pia nina wasi wasi nayo aisee kwa mwendo huu ...visca barca mes que un club
 
Back
Top Bottom